Eletrical techician anahitajika haraka

mjenziwakale

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
952
1,460
Habari zenu wakuu,
Wanahitajika electrical technician wawili, holders wa diploma na wawili wa machanical from either DIT, MUST au ATC. Tafadhalini nawahitaji very urgently.
Mkataba ni full time
Position: Supervisor

Kwa yeyote mwenye ndugu yake au mwenyewe mwenye vigezo tajwa hapo juu anitafute kwa mawasiliano tajwa hapa chini.
Mobile: 0754729751
Email.stanleyshedrack1@gmail.com
 
Hupokei simu mkuu, Kuna jamaa nimempa namba yako hio kapiga usiku na asubuhi leo kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom