sarah bradley Member Joined Dec 3, 2016 Posts 10 Reaction score 9 Dec 3, 2016 #1 Sorry guys mimi ni mwanafunzi ndo nimeanza chuo can some one help me with the elements of hard news stories pliz zikiwa well explained na mwenye sources pia anisaidie ili nitafute nipate uelewa zaidi pamoja na vitabu if anyone happens to know
Sorry guys mimi ni mwanafunzi ndo nimeanza chuo can some one help me with the elements of hard news stories pliz zikiwa well explained na mwenye sources pia anisaidie ili nitafute nipate uelewa zaidi pamoja na vitabu if anyone happens to know
dully santo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2014 Posts 260 Reaction score 334 Dec 3, 2016 #2 Kabla ya kujibu swali lako kuna vitu vya kufahamu What is news?? How many types of news?? What is hard news?? ukifaham haya naimani kabisa utapata jibu la swali lako
Kabla ya kujibu swali lako kuna vitu vya kufahamu What is news?? How many types of news?? What is hard news?? ukifaham haya naimani kabisa utapata jibu la swali lako
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Dec 4, 2016 #4 what iz news? kwanini usi Google umekimbilia JF?