Electrical Engeneering UDSM au DIT

Electrical Engeneering UDSM au DIT

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Wakuu
Naomba kuuliza kati ya hv vyuo viwili vikongwe ni kipi kinatoa wahandisi wazuri wa umeme?
 
Me namjua Engineer moja yule anaemiliki kampun ya Derm Electrics na Derm House Kijitonyama yeye amesoma UDSM anapata tenda nyingi za Serikali na za Binafsi
 
Nadhani UDSM wanatoa zaidi BSC in Engineering ambayo ni 60% theory na 40% Practical ,na DIT ni B.Engneering 60% Practical na 40% theory.So DIT wako more practical oriented ,so ni kwako kuchagua uende wapi.Waliosoma huko watatujuza kama kuna kaukwleli hapo.
 
Hiyo kampuni inamilikiwa na Dr. Ramadhan Dau mkuu, sasa Dau tangia lini akawa injinia...
 
Nadhani UDSM wanatoa zaidi BSC in Engineering ambayo ni 60% theory na 40% Practical ,na DIT ni B.Engneering 60% Practical na 40% theory.So DIT wako more practical oriented ,so ni kwako kuchagua uende wapi.Waliosoma huko watatujuza kama kuna kaukwleli hapo.
Mm nimesoma Dit tena electrical na ndo nawait selection na niliomba dit maana IPO vizur
 
UD, DIT au Mbeya University of science and technology kwahyo course ni sawa tu siku hzi katika ufundishaji sioni tofauti ya Bsc na Beng, Bachelor's degree level hakuna practical ya maana chuoni unatakiwa kujiongeza mwwnyewe hasa wakati wa field,
Pia angalia Arusha Technical college kuna course mpya ya Electrical and Biomedical hii haikuwepo Tanzania kwahyo ukimaliza ni rahisi kuingia serikalini ku maintain vifaa vya kisasa vinavyotumiwa na Mahosptali ya Umma na binafsi.
 
Nimesoma Arusha tech mkuu dip ndo wako fresh, napenda electrical yenyewe nikimaliza nikafanye mambo yangu,
 
chagua UDSM kama kichwa chako kiko vizuri... pale unafundishwa vitu vingi vya ukweli kwa muda mfupi sana. kama unakichwa cha panzi unaweza maliza mwaka wa 4 hata huelewi EE inahusu nini hasa. ila kama uko poa kichwani pale ndio kuna wakongwe na watata wa EE nchi hii.
 
Lakini kumbuka mtaala wa kufundishia udsm ulitoka DIT
 
UD, DIT au Mbeya University of science and technology kwahyo course ni sawa tu siku hzi katika ufundishaji sioni tofauti ya Bsc na Beng, Bachelor's degree level hakuna practical ya maana chuoni unatakiwa kujiongeza mwwnyewe hasa wakati wa field,
Pia angalia Arusha Technical college kuna course mpya ya Electrical and Biomedical hii haikuwepo Tanzania kwahyo ukimaliza ni rahisi kuingia serikalini ku maintain vifaa vya kisasa vinavyotumiwa na Mahosptali ya Umma na binafsi.
lkn hyo bachelor ya electrical and biomedical engineering ni special kwa diploma holders tu WA biomedical engineering ambayo inatolewa ATC utaratibu WA form six kwenda moja kwa moja bado haupo na pia wanahitaj watu 25 tu mwaka huu
 
Back
Top Bottom