Electrical design software

Electrical design software

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,104
Reaction score
357
Habari za kazi wakuu, ninashida ya kupata software ya ku-design kazi za umeme kama,
i. Majengo marefu
ii. Domestic
iii. Viwandani
Nimetaja kwa uchache. Unaweza kunisaidia kuipata kwenye CD au njia nyingine itakayokua rahisi.
Najua tupo wataalamu wengi humu ndani.
Nasubiri kupata ushauri pia.
 
keyword nzuri ya kutafutia unachotaka ni CAD (computer aided design). hivyo wewe unatafuta electrical CAD

mimi si mtu wa umeme jaribu mwenyewe angalia kama zitakufaa ila hizi ndio best according to google

1. Electra
website yao - https://radicasoftware.com wana free trial siku 30

2. AutoCad electral
-website yao - Overview hawa pia wana free trial siku 30

3.proficad
-website yao - https://www.proficad.com

4.TinyCad
sehemu ya kudownloa - TinyCAD download | SourceForge.net
hii nimeipata sourceforge hivyo huwenda ni ya bure na opensource na ina ratings nzuri tu

kama unaanza biashara huna mtaji link ya AutoCad electral full version hii hapa
AutoCAD Electrical 2015 Free Download
ila i recomend kununua full version support ni muhimu sana kwa haya mambo yenu maana ukikwama hakuna wa kukusaidia zaidi ya mtengeneza software.

muhimu
hizi software zinahitaji pc yenye nguvu sana utatakiwa ram 4gb/8gb, hdd 12gb hadi 16gb, monitor ya kuanzia 1280x1024 (monitor nyingi ni 720p hivyo kuwa makini hapa) uwe na gpu inayosuport hio resolution, vram kuanzia 128mb na iwe workstation class gpu inamaana iwe nvidia quadro au amd fire pro.
 
Ahsante mkuu, ngoja nijaribu nitaleta feedback kile nilichokioona. Pia mjadala haujafungwa, waliopo kwenye field wanakaribishwa sana.
 
keyword nzuri ya kutafutia unachotaka ni CAD (computer aided design). hivyo wewe unatafuta electrical CAD

mimi si mtu wa umeme jaribu mwenyewe angalia kama zitakufaa ila hizi ndio best according to google

1. Electra
website yao - https://radicasoftware.com wana free trial siku 30

2. AutoCad electral
-website yao - Overview hawa pia wana free trial siku 30

3.proficad
-website yao - https://www.proficad.com

4.TinyCad
sehemu ya kudownloa - TinyCAD download | SourceForge.net
hii nimeipata sourceforge hivyo huwenda ni ya bure na opensource na ina ratings nzuri tu

kama unaanza biashara huna mtaji link ya AutoCad electral full version hii hapa
AutoCAD Electrical 2015 Free Download
ila i recomend kununua full version support ni muhimu sana kwa haya mambo yenu maana ukikwama hakuna wa kukusaidia zaidi ya mtengeneza software.

muhimu
hizi software zinahitaji pc yenye nguvu sana utatakiwa ram 4gb/8gb, hdd 12gb hadi 16gb, monitor ya kuanzia 1280x1024 (monitor nyingi ni 720p hivyo kuwa makini hapa) uwe na gpu inayosuport hio resolution, vram kuanzia 128mb na iwe workstation class gpu inamaana iwe nvidia quadro au amd fire pro.

Mkuu, Chief-Mkwawa. Nimeona mbili hapo juu zinafanya kazi kama autocad. Kwa maelezo ya ziada nataka software ambayo itanisaidia kufanya calculation ya idadi ya taa, current na parameter zingine kwenye circuit then nachora na autocad au hizo hapo juu ulizonisaidia. Ahsante.
 
Back
Top Bottom