Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

Barraza

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
481
Reaction score
270
VonHaus Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

Bei ni Tsh. 300,000

Warranty: 1 Year

Zinatumia Umeme wa Gari (DC).

Kwenye Box kuna Jeki ya Kunyanyulia Gari pamoja na Mashine ya kufungulia Tairi (Impact Wrench).

Jeki inanyanyua Uzito 0Kg - 2000Kg, i.e Magari Aina ya Pick up, Station wagon na Sedan aina zote inanyanyua.

Maximum Torque Value ya Impact Wrench 380Nm. Kwa maana kwamba inaweza kufunga na kufungua Nut inayotumia Spana size 30 (20mm Bolt & Nut). Magari mengi hutumia Spana Namba 21.

Inafanya kazi kwa urahisi, hata mwanamke anaweza kubadilisha tairi ya gari lake bila kutumia nguvu nyingi.

Bidhaa zetu Zimebaki Chache, Tupo DSM. Mikoani tunatuma kwa uaminifu.

Contacts: 0688 382 415
 

Attachments

  • DC-12V-Car-Electric-Impact-Wrench-and-Jack-Tools-For-Cars-SUV-380N-m-Sedan-Tyre.jpg
    DC-12V-Car-Electric-Impact-Wrench-and-Jack-Tools-For-Cars-SUV-380N-m-Sedan-Tyre.jpg
    31.4 KB · Views: 112
  • 818sPH2aHlL._SL1500_.jpg
    818sPH2aHlL._SL1500_.jpg
    146.9 KB · Views: 97
  • electric-car-jack-with-wrench-IBPS6887-PRODUCT.jpg
    electric-car-jack-with-wrench-IBPS6887-PRODUCT.jpg
    17.1 KB · Views: 90
Mmmmh sizani huo waya wa jeki kama unaweza kutoka kwenye bonet ilipo betri mpaka tairi ya nyuma.
 
Mmmmh sizani huo waya wa jeki kama unaweza kutoka kwenye bonet ilipo betri mpaka tairi ya nyuma.
Ina extension cable, tairi zote zinafikika aidha kutokea kwenye Betri ama ile Sehemu ya kuwashia Sigara (kiberiti) ndani ya gari...
 
Zimebaki Pc 3 tu tumepunguza bei mpaka Tsh. 300,000 (Promotional sale)
Kwa kila moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom