Unataka kusema simba wanamlipa zaidi ya hiyo kwa mwezi?Ndogo sana hio kwa manula.
Hio inatakiwa iwe pesa ya Wiki moja
Unataka kusema simba wanamlipa zaidi ya hiyo kwa mwezi?Ndogo sana hio kwa manula.
Hio inatakiwa iwe pesa ya Wiki moja
Kwa taarifa yako kazaliwa 1989,Kazaliwa 95, 2011 alikiwa academy akiwa secondary
Pole sanaK
Kwa taarifa yako kazaliwa 1989,
Kwani sasa hivi analipwa kiasi gani Simba?Hizo pesa akawape utopolo malengo ya Simba ni kuchukua ubingwa wa Afrika ndani ya miaka 5 ikiwa ni pamoja na kuchukua wachezaji na kuzuia wachezaji wao wazuri
Ni yeye na Simba ndio wanajuaKwani sasa hivi analipwa kiasi gani Simba?
Tufanye kazaliwa 1960. Haya furahi sasa.K
Kwa taarifa yako kazaliwa 1989,
Tufanye kazaliwa 2010 haya chukia sasaTufanye kazaliwa 1960. Haya furahi sasa.
Tetesi ni 5MKwani sasa hivi analipwa kiasi gani Simba?
Tufanye wewe ndiye Manula, haya daka mpira huoTufanye kazaliwa 2010 haya chukia sasa