Fanya sala ya toba haraka,
Pia jaribu kuwasiliana na Shek Yahaya yule dr. wa CCM haraka una jini Mahaba.
Fanya sala ya toba haraka,
Pia jaribu kuwasiliana na Shek Yahaya yule dr. wa CCM haraka una jini Mahaba.
....it is time for marriages stuff,lolzHi guys some one help! Have experienced twice now.....working out in the gym, bench press up, pullover, intensive ABS exercise I end up with spontaneous ejaculation....gym ninayoenda haina mademu na huwa siko sexually aroused kwenye mind. Huwa kama nimebeba mzigo mzito najikuta wet duuu....its a bit embarrassing.....
Is it normal? can some one clarify........
Pole sana.
Nkwingwa Masa, unasema huwi uko aroused kwenye mind, je, visually vipi (iwapo na endapo kuona tu wenzako [au wewe mwenyewe kwenye kioo] ndani ya gym kuna trigger stimulation? Na kabla hata hujafikiria kuwa umeshafikiria kichwani kengere inakuwa imeshalia...
Man I am serious......ur shemeji hana complains....jini mahaba nimerule out...kwa imani yangu sitakiwi kwenda kwa Sheikh Mnajimu
Well, man....Will think about it....I need to date for at least 10 years before committing for marriage...
Hongera sana mkuu! umetutosa sisi senior bachelors
Man I am serious......ur shemeji hana complains....jini mahaba nimerule out...kwa imani yangu sitakiwi kwenda kwa Sheikh Mnajimu
...muda wangu ulishafika mkuu wangu.naikumbuka vizuri taimtebo yako ya JUNE!and it seems alarming sasa (hadi wazaramo wanatoka wenyewe bana..Well, man....Will think about it....I need to date for at least 10 years before committing for marriage...
Hongera sana mkuu! umetutosa sisi senior bachelors
Ngoja nikutabirie,
Wewe umezaliwa April watu waliozaliwa kipindi cha baridi huwa wanapatwa na ugonjwa mbadala wa ngiri baridi yaani unapatwa na hamu kali kila mara.
Pia inaonyesha wewe ni mwanaume mwaminifu ndio maana unafatwa na majini kwa vile na yenyewe huwa yana wivu na yanaogopa ukimwi kama ukoma.
TABIBU/USHAURI
Unashauriwa kuoa haraka na usioe mwanamke mwembamba unaweza kupata murder case kwa vile mnatumia nguvu nyingi na muda mrefu kwenye ili kupunguza hasira ya mzee wako. Ukitaka kuaini nayosema kila ukinyanyua uzito mkubwa unatoa hayo maji yanayosababisha mtoto(sperms)
Mkeo lazima apende manukato na aepuke kuvaa baibui ili kukuvutia muda wote.
ni-piemu sasa hivi!it looks like smthng is nt rght smwhr,lolz!...June hapana mazee sitakiwi kuwa na haraka! Ngoja nijitunze tu....will PM you man
Mkuu unajua ukiwa kwenye mazoezi serious hata ile kitu hujui kama imesimama! Nakuja shitukia nimelowa ute uumeni.....! Thank god nilikuwa na bukta nyeusi so washikaji wakajua ni jasho! LOL
Hi guys can some one help! Have experienced twice now.....working out in the gym, bench press up, pullover, intensive ABS exercise I end up with spontaneous ejaculation....gym ninayoenda haina mademu na huwa siko sexually aroused kwenye mind. Huwa kama nimebeba mzigo mzito najikuta wet duuu....its a bit embarrassing.....
Is it normal? can some one clarify........