fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 Aug 22, 2018 #2 [emoji3] [emoji3]
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,756 Reaction score 6,295 Aug 22, 2018 #3 Hapa kweli hatutapona kipindipundu, yaani ugali unabebwa begani kwa shati la mtumba na jamaa kalowa jasho kishenzi. Kwa mtizamo wa haraka haraka tu, inaonekana mboga yake ni mbwa ama mizoga ya kuokota mtaani. Kula peke yako hiyo Eid.
Hapa kweli hatutapona kipindipundu, yaani ugali unabebwa begani kwa shati la mtumba na jamaa kalowa jasho kishenzi. Kwa mtizamo wa haraka haraka tu, inaonekana mboga yake ni mbwa ama mizoga ya kuokota mtaani. Kula peke yako hiyo Eid.
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 709 Aug 22, 2018 #4 Heeeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Aug 23, 2018 #5 Mmeshaambiwa ya kuchinja Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk