Eid inakaribia, Mshahara Serikalini hakuna

usiogope, kwa kua mshahara ni lazima utalipwa, wewe kopa ili watoto wasijisikie vibaya
 
Wewe ni mzinzi ndio mana mshahara haukai

Hujamwelewa mtoa mada alafu unamtukana, ivi wewe ni msafi kiasi gani? je unajua kiwango anacholipwa? kuna watu mishahara ili afanye maemdeleo mpaka abane upande mwimgine, bado hajauguliwa na mtu anaemtegemea, sio uzinzi pekee unaofanya mtu kumaliza mapema. Kaka ukila mpaka ukamwaga ujue wapo wanaolala na njaa, usimuhukumu usiyemjua Kaka kwasabu ya hali yako yeye hakuoni Ila MwenyeMumgu, anakuona.
 
Pole kwa hisia zako.hakuna awezae kupuuza agizo la rais kuwa ifikapo 25/kila mwezi watumishi wawe wamepata chao.cha maana tarehe ikifika kachukue mshahara wako.agizo la rais haliwezi kupuuzwa ndugu.hofu ondoa.
 
Tatizo Lenu Mnategemea Sana Mishahara, Tangia Mnalipwa Hamjapata Mtaji?

Tatizo lako wewe fungo ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.mwenye pesa haachi kutafuta pesa eti kwa sababu anazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…