togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Nauliza nisije nikasafiri bure kwa shida zangu katika ofisi za serikali.
Nauliza nisije nikasafiri bure kwa shida zangu katika ofisi za serikali.
Uko sahihiEid ni kesho. Na haitwi "Eid alhaj". Ni mazoea tu ya watu kuita hivyo lakini Eid ya kesho huitwa Eid Al-adha.
Sahihi all ah-qy.Eid ni kesho. Na haitwi "Eid alhaj". Ni mazoea tu ya watu kuita hivyo lakini Eid ya kesho huitwa Eid Al-adha.