Mwanaume akihamisha hisia anaanza kukuona kama ndugu yake, hata ukae uchi mbele zake, hujisikia kinyaa. Halafu mwanaume huwa hapendi makelele kwenye nafsi yake, ukimtamkia maneno ya shombo, matusi na kumkashifu hata kama kakosea basi huwa inamkaa kwenye hisia.
Hata akirudi hawezi kuwa yule wa zamani, kiujumla ukiona mwanaume ndani amesusia kitumbua chako, anza kabisa kujiandaa kisaikolo kuwa mchepuko sehemu fulani, au kama hutaki shali kamili, beba begi lako kaanze maisha.
Bila uvumilivu, si mwanaume wala mwanamke, maisha ni ndoto.