Kwa wanafunzi wote mnaosoma hizo combination tatu au una mwanao anasoma mojawapo kati ya Comb hizo,tunatoa private tuition kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu sana....Hii ni special kwa wale mlioko Dsm tu na utafikiwa popote ulipo.Mwenye uhitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
kwa nijuavyo mm PGE ni post graduate in education ambapo graduates ambae ana degree isiyo ya elimu/ ualimu na anawishi kuwa mwalimu ndo anasoma iyo kitu.
PGE ipo toka 2013..ni Physics,Geography na Economics plus BAM shule chache zipo ni kama ilivyo kwa CBM,chemistry, biology na Mathematics..only shule chache wanazo!!
tuition za kupm tena mhhh kwa nini usiweke contacts zako wazi, mnapatikana wapi, namba ya simu, biashara ni matangazo mkuu[/QUO
Hata PM inatosha kwa wale wenye uhitaji mkuu kuweka namba ya simu hapa sio kila mtu anapossitive mind kama wewe.