EGM aneza kuomba kozi gani chuo cha maji (WDMI)

MrMondo

Member
Feb 23, 2015
94
58
naweza kuomba kujiunga chuo cha maji ikiwa nimesoma EGM? Naombeni mchango wenu wadau
 
Bachelor degree"water resource &irrigation engineering"
Pcm or equivalents
diploma
1. Water supply &sanitation engineering
2.irrigation engineering
3.hydrogeology(underground water)
4.hydrometeology(surface water)
5. Water quality
Diploma atarejea cheti cha form four(CSEE)
awe na ufaulu mzuri(pass) masomo yote ya sayansi including basic mathematics at least iwemo credit pass
Atachagua cozi yoyote kulingana na matwakwa yake.
kila raheli mkuu.
 
Back
Top Bottom