Kuwa nchi nzima siyo kigezo cha kusikilizwa.Na hata ukisikilizwa,inategemea unasikilizwa na watu wa makundi gani na ni vipindi gani hasa vinasikilizwa.Mimi hizo radio stations huwa nasikiliza vipindi vya michezo tu!Kwa ushindani uliopo sasa ni vigumu sana kuwateka wasikilizaji saa 24.Wananyang'anyana wasikilizaji kwenye baadhi ya vipindi.
Hii forum mi nimgeshauri melo atoe watu usafi ufanyike maana kumawatu humu sijui huwa hawaelewi we mtu kashasema coverage area hatuangalii we unakuja na upogba wako apa