and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini - Economic Freedom Fighters (EFF) Leo wanatimiza miaka 10 toka kuanzishwa kwake. CHADEMA mna ya kujifunza hapa.
Ni kama CHADEMAMalema ni mtetezi wa ushoga
Hao sijawahi kuona wanateteaNi kama CHADEMA
Ana wabunge wangapi bungeni Vs CHADEMA, CUF, ACT na NCCR (combined)?Malema hajui anasimamia nini
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini - Economic Freedom Fighters (EFF) Leo wanatimiza miaka 10 toka kuanzishwa kwake. CHADEMA mna ya kujifunza hapa.