Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 232
- 619
Mungu niokoe, maji yamenizidi. Yamefika mpaka nafsini mwangu.
Nimezama Baba katika matope
Yasiyowezekana kusimama.
Ewe Mungu angalia wanaokungojea, wasiaibishwe, kwa ajili yangu Ewe Bwana wa Majeshi.
Wanaokutafuta, wasiaibishwe kwa ajili yangu Ewe Bwana wa Majeshi.
Nimefika mpaka maji ya Vilindi Baba, Mkondo wa maji umenigharikisha.
Nimechoka sana na kulia lia,
Koo langu limekauka sana Eeh Mungu.
Mimi maombi yangu yote nakuomba Wewe Bwana.
Kwa maombi yangu,nakuomba wewe,
Kwa Fadhili zako, Bwana Unijibu,
Kwa Rehema zako, Bwana Uniponye
Kwa Neema zako, Bwana Uniokoe
Kwa Upole wako ,Bwana unisikie
😭😭😭😭