Eeeh! Hawa wana wadudu kichwani eeeh?

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Imagine accepting such terms n conditions................ How will tz future be guys?
 

Attachments

  • Gay Nation against Africa.jpg
    15.5 KB · Views: 394
Sikuelewa chochote hapa.


nilivyoelewa mimi hivi huyu Mtu wa U.K anamwambia M Tanzania ikiwa hutaki mambo ya Mashoga kwenu (Home Sexual) Hautopata Misaada ya Mapesa. Huyu Muingereza anamlazimisha Ofisa wa Tanzania aruhusu mambo ya Ushoga Tanzania ndio atampa misaada ya pesa Kwenda David Cameroon na misaada yako na huo Ushoga hatutaki misaada yenye Masharti Magumu.
 

na mtanzania anaonekana anataka kua considerate anaonekana anawaza kua what if nikikubali mambo kwani yatakuaje...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…