Eee Mwenyezi Mungu tusaidie

Eee Mwenyezi Mungu tusaidie

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,576
Reaction score
8,329
ImageUploadedByJamiiForums1416566408.038244.jpg
 
japo sizipendi hesabu, ila hii nimeipenda bure na nitamfundisha mtoto wangu
 
Hili jambo linaniuma roho , ila sijui nifanyaje jamani...
 
Hili jambo linaniuma roho , ila sijui nifanyaje jamani...

Kuwa tu mpole.......hawafanywi kitu........na hakuna kitakachoendelea.........linchi la kis.......ge sana hili...........
 
Kwa kwel wangenyongwa hao mafisadi na wale wa richmond ukijumlisha na wa EPA halafu wa Meremeta bila kuwasahau Dowans adabu ingerudi
 
Songea to Mwanza kwenda na kurudi na kubakiwa na mamia mengine ya kilomita.
 
Hii inafaa kama teaching aid kwa mambulula wanaodhani ccm ndio mkombozi wao
 
NCHI YETU WENYEWE.......... MUNGU TUTETEE TUMECHOKA SIE LAKINI TUNAOGOPA KUCHUKUA HATUA ZA KUWA COMPAURE HAWA VIONGOZI WETU.

ADUI WETU MKUBWA NI INTELIJENSIA a.k.a USALAMA WA TAIFA WALIOSHINDWA KUTUMIA TAALUMA ZAO KWA MASLAHI YA TAIFA NA KUWALINDA MA CCM WABINAFSI. INTELIJENSIA ISIYOJUA PESA ZIKIKWAPULIWA,HAIJUI WANANCHI WAKINYANYASWA NA MIUNGU WATU,HAIJUI WAGONJWA WAKIFA KWA KUKOSA MATIBABU. KIKUBWA IKIJUACHO NI WAPINZANI WA KISIASA WANAPOTAKA KUANDAMANA KUDAI HAKI ZA RAIA WAO HUGUNDUA MAPEMAAAA UWEPO WA VURUGU KTK MAANDAMANO HAYO.

EE MWENYEZI MUNGU TUONGOZE SISI WATANZANIA TUIFIKIE NCHI IMIMINIKAYO MAZIWA NA ASALI, TUPE VIONGOZI MFANO WA MUSA,HARUNI NA JOSHUA, TUPE MPIGANAJI MITHILI YA GIDEON, TUPATIE DAUDI NA MANABII WA KWELI MFANO WA SAMUEL.
 
Du!!! asante umeweza kunisaidia kuongeza hasira na hawa jamaa!!
 
Wakati wengine hapa hata hatujawahi kumiliki laki au hata kuishika.Laana ziwaendee hao wezi
 
Back
Top Bottom