af kumbuka hakuna kiumbe wa thamani kama wewe, na daima likukwepalo lina heri mumieee.........
wahenga walisema herim kenda nenda kuliko kumi nenda rudi kama katokomea tokomoo mwache ni heri kwako............
usijali sana wako yupo tena atakaye kijaza kinywa chako kicheko, yule atakaye tambua kwamba u nyama kutoka katika nyama zake na u mfupa kutoka mifupa yake.
mie nakumalizia kwa kusema akunyimae kunde akupunguzia mashuzi, mita ya luku achana nayo.........anza upya maisha yapo bado.