Mwone kwanza...
Mwone kwanza...
Kazi kuelekeza wengine tu! Nawe tangu ujiuge 2008 huchangii walau Tshs 20,000? Hujakusanya zikafika? Utafurahi kusikia tunawatangazia tumeelemewa tunasimamisha huduma?
Hahaha, najua ni utani unaochoma,,, tafakari na kisha chukua hatua!
:glasses-nerdy:
Duh, na wewe naona hujachangia. Nikurushie dongo? Ha ha ha... Hivi kweli hakuna lolote mnalofaidika na uwepo wa JF? Seriously?Na ujumbe huu uwafikie wooooote wasiopenda kuichangia JF yetu.
Hivi kweli hakuna lolote mnalofaidika na uwepo wa JF? Seriously?
Seriously? Na hii ni sababu? OMG! Na ukienda M-PESA ukamwambia atume yeye umpe 1,000 kama gharama ya kutuma bado jina litakuja lako? Kuna bank inalazimisha anayetuma pesa kuandika real name? Eng. Nsiande, are you serious?Tutachangiaje ujue ni sisi yaani nsiande halafu usione my real name yaani nsiande aikaruwa makundi...
Duh, na wewe naona hujachangia. Nikurushie dongo? Ha ha ha... Hivi kweli hakuna lolote mnalofaidika na uwepo wa JF? Seriously?