MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Dunia nzima kukashfu viongozi waasisi ni kujichimbia kaburi la kisiasa...
Kila siku tunasema chadema hawana hoja zaidi ya kutukana watu na kuwadhalilisha..
Unaona hata humu jinsi wanavyodhalilisha waislamu na wasiokuwa wachagga....
Tabia hii wameizoea na vibaya mpaka viongozi wao wanayo ngoja tuone itawafaidia nini....
We ndio mkabila mkubwa na hauna tofauti na CCM ambao badala ya kutoa point za kushawishi kuhusu serikali 2 wanapiga DOMO na kuzomea. Hivi umemhusishaje Tundu Lissu na wachagga hapa kama siyo akili zile zile za tope kama makambale wenzako maCCM