Wakubwa watakubali? What about Assange!
Itakuwa bomba sana jamaa akipata hiyo tuzo. Sasa hivi wengi wanamuona kama shujaa badala ya adui kwa kuanika hadharani uozo mkubwa uliokuwa unafanywa wa kuwapekuwa watu mbali mbali duniani wakiwemo Viongozi wa nchi za magharibi.
he can no get
Wata-share !