Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

Awe mmeru awe mmasai IDENTITY YAKE REMAINS THE SAME.Jina lake litakuwa hilo hilo.Ni mbunge na ana uwezo.Kazi yako ni kusuka au kunyoa siku ya uchaguzi jina lake likirudi.Hata ungekuwa ungekubaliungekuwa lofa km ungepata post km hizo?
 

Kulikoni umdhalilishe Sokoine hivi? unamlinganisha na huyo malihuni....., Naamini nusu ya wasomaji hawajasoma part 2 ya hii story yako.., embu tutake radhi bana
 
KISHALU

Tuna uhakika gani kwamba waliopo chadema nao si mafisadi au niseme tutajuaje kua wakipata nafasi hawawezi kufisadi maana wengine tunaishi nao mitaani na mienendo yao na kashfa zao hata walipokua shuleni na vyuoni tunazijua!!

Kama kuna unaemjua ana hulka za kifisadi mtaje/mkatae. Kutetea ufisadi, kuamini kuwa utajiri wake EL ndio utatukomboa waTZ, ni dhambi ambayo historian itakuja kutusuta wote tuliyoshindwa kuilinda Tz.
 
Wote walifanya kazi pammoja wakati fulani,na yasemekana Lowassa alikuwa ni mshauri wake Sokoine.Tusipoteze muda kujadili-: kulinganisha au kutofautisha au kuoanisha watu hao wawili.Wote walikuwa PM katika vipindi tofauti za tawala na mifumo tofauti.

WaTZ tusikwepe ukweli, fisadi bado hatakiwi vilevile. Kulinganisha ni kujifunza kutoka historia na ndio maendeleo. EL wenu hafai urais
 

Naona bado hujawafahamu wote wawili
 
Wewe acha matusi, jenga hoja utaeleweka!. Mh Lwassa kwa sasa kubali usikuli ndiye anayeweza kuhimili mikikimikiki na kuifisha nchi tunapo hitaji, tumpe nafasi.

Fisi alinde bucha?
 
Wewe acha matusi, jenga hoja utaeleweka!. Mh Lwassa kwa sasa kubali usikuli ndiye anayeweza kuhimili mikikimikiki na kuifisha nchi tunapo hitaji, tumpe nafasi.

Atawezaje kuhimili mikiki mikiki wakati jamaa mgonjwa?
 
Damn, yani mtu mwadilifu kama Sokoine analinganishwa na fisadi Lowassa? Hii ni dhihaka kubwa na ukosefu wa heshima na hekima. Sokoine, the best P/M we've ever had, huwezi kumlinganisha na fisadi aliyepugwa u-p/m kwa wizi. Saizi ya Lowassa ni kina Karamagi, Chenge, Mkono, Kikwete, etc.
 

hahahahahahahahahaha!!! Jamaa anafurahia kuwa na rais masikini, hii nchi walahi hatutoki.....Kama hutaki Gadaffi azungumziwe mbona unamtaja SOKOINE wakati alishafariki, so unamvalue zaidi Gadaffi kuliko Sokoine?
 

Nyie si mlisema Salim Ahmed Salim sio Raia wa Tanzania? huo uraia mmemrudishia lini? Hizi njaa hizi kazi kweli kweli
 
Lowassa ni Sokoine Mpya.



Mkuu si ulisema wanaringanisha messi na msuva kwa maana sokoine ni messi na lowassa msuva...hahahahahahahaha....hahahahahaha leo unasema lowassa ni sokoine mpya weka akiba ya maneno wewe nyumbu wa kufata upepo..mjifunze kuweka akiba ya maneno
 
Mkuu si ulisema wanaringanisha messi na msuva kwa maana sokoine ni messi na lowassa msuva...hahahahahahahaha....hahahahahaha leo unasema lowassa ni sokoine mpya weka akiba ya maneno wewe nyumbu wa kufata upepo..mjifunze kuweka akiba ya maneno





Sawa Shangazi nimekuelewa, ila tambua hukna adui wa kudumu kwenye siasa.
 

Uzi huuu kwa hakika umekaa vizuri, ebu uweke kwa kiswahili dozi iwaingie sawasawa maama naamini kwa kimombo hiki hata EDO atakuwa katoka kapa maana mweupe ktk kimombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…