Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

JIMMY

Suala hapa ni kuangalia kama kweli LO-RUSHWA ana vigezo vya kuwa Rais au vipi?
 
hapo ni sawa ya kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. lowassa hafiki hata robo ya uadilifu wa sokoine:majani7:
 
Mbona wapambe wake wanasema Lowasa ni chaguo la MUNGU 2015?
 
galiya
Moringe ni habari nyingine kabisa. Yaweza kuwa tunao kina Moringe wengi tu Tanzania ila mfumo wa sasa hauwezi kuwaruhusu kupenya.

Nakuunga mkono 100+% mkuu,naamini wapo wakina Moringe wengi ila mfumo tulionao ndio unafanya wasionekane na wasifanye yale ambayo ni mazuri kama aliyokuwa anafanya mzalendo wetu EDWARD MORINGE SOKOINE.
 
Last edited by a moderator:
For Sokoine it was -"ASK NOT WHAT YOUR COUNTRY CAN DO FOR YOU, BUT WHAT YOU CAN DO FOR YOUR COUNTRY
And what did he do for his country, a good leader is not defined for his hands on approach, or of his good heart, empathy nor his philanthropic acts.

Indeed a good leader is defined on what he has done for his country, what he did for his people or attempted for his people. For instance if you were told to write an autobiography and the impact of his legendary which still have direct or indirect influence on society today can you list any?

Tuache kuwamulika viongozi waliokuwa na madaraka ya juu tena na nafasi kubwa ya kutupeleka mbele kutokana na patriotism iliyopo kipindi chao na kushindwa kuleta maendeleo yoyote. Aina maana hawakuwa viongozi wazuri ispokuwa walikuwa kwenye nafasi za uongozi ambazo si fani yao. Na haya ndio matekeo ya kugeta-geta kwa maendeleo yetu, na sisi wenyewe tukichangia kwa kuwa hatutafuti viongozi wenye vission ya taifa.

Ukitoa Nyerere, waliofuata hili mradi siku ziende lakini impact no, huyu wa sasa maendeleo kwake ni watu kuwekeza kutoka nje. Si watu wa ndani wapewe mbinu za kuleta changamoto za maendeleo yao. Ilimradi tuseme JK aliweka.

For Lowasa it is "ASK NOT WHAT YOU CAN DO FOR YOUR COUNTRY BUT WHAT YOUR COUNTRY CAN DO FOR YOU!
Ni dhana ambayo na sisi kama watanzania sasa tuanze kujiuliza ki maslahi binafsi hawa viongozi wanaotaka kutuongoza watatuletea nini cha kutusaidia na sisi. Na si majina tu ya watu kila kukicha. Tunachangia kwa upande mkubwa sana kupata viongozi wabovu kwa ushabiki wetu na tabia ya kutopenda ku-demand what we think is rightful ours.
 
Sokoine na Lowassa ....wau wawili tofauti kabisa
wanafanana kitu kimoja tu...'their first name'....
Naona ya Dodoma yamewashinda sasa mnataka kuleta porojo humu Lowasa na Sokoine ni kama mafuta na maji ,ni kitu tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha Twiga na Faru
 
Mnaendelea kumjadili Nyoka mwenye ndimi 2 bdo teeeh teh .... Bdo mnamtaka awe raisi wenu awaume vizuri na hapo atakuwa na ndimi3 kwani atauma chama gamba, serikali gamba na wananchi gamba.
 
MSEMA UKWELI

Ulichosema ni UKWELI MTUPU
 
And what did he do for his country, a good leader is not defined for his hands on approach, or of his good heart, empathy nor his philanthropic acts.

Indeed a good leader is defined on what he has done for his country, what he did for his people or attempted for his people. For instance if you were told to write an autobiography and the impact of his legendary which still have direct or indirect influence on society today can you list any?

Tuache kuwamulika viongozi waliokuwa na madaraka ya juu tena na nafasi kubwa ya kutupeleka mbele kutokana na patriotism iliyopo kipindi chao na kushindwa kuleta maendeleo yoyote. Aina maana hawakuwa viongozi wazuri ispokuwa walikuwa kwenye nafasi za uongozi ambazo si fani yao. Na haya ndio matekeo ya kugeta-geta kwa maendeleo yetu, na sisi wenyewe tukichangia kwa kuwa hatutafuti viongozi wenye vission ya taifa.

Ukitoa Nyerere, waliofuata hili mradi siku ziende lakini impact no, huyu wa sasa maendeleo kwake ni watu kuwekeza kutoka nje. Si watu wa ndani wapewe mbinu za kuleta changamoto za maendeleo yao. Ilimradi tuseme JK aliweka.

Ni dhana ambayo na sisi kama watanzania sasa tuanze kujiuliza ki maslahi binafsi hawa viongozi wanaotaka kutuongoza watatuletea nini cha kutusaidia na sisi. Na si majina tu ya watu kila kukicha. Tunachangia kwa upande mkubwa sana kupata viongozi wabovu kwa ushabiki wetu na tabia ya kutopenda ku-demand what we think is rightful ours.

Aina y a viongozi tunaowachagua wana reflect aina ya wachaguzo. Wala rushwa waliochaguliwa, walichaguliwa na wala rushwa.
 
MAGWANGALA

Umesema "Naskia harufu ya fedha za Gaddafi hapa". Sasa nimeamini kuwa Mkapa alikua sahihi aliposema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri! Hivi kigumu ni nini kwa wewe kuchambua hoja iliyombele yetu? Gaddafi anatokea wapi? Kwanini usimwache marehemu apumzike kwa amani huko aliko? Pamoja na nyie kumchukia Gaddafi kwani Libya sasa ndo iko salama na wananchi wananeemeka?

Nilitegemea ungetoa mawazo/ushahidi kua uliyoyaandika sio kweli Lowasa ni maskin na ni mtu wa kawaida tu kama watanzania wengine etc. JIPANGE !

Mkuu,watu wengine tunafikiri kwa bidii ya hali ya juu,hatuishii kujadili hoja tu bali tunachunguza hadi nia ya mtoa hoja,kumbuka,unaweza kufanya jambo zuri kwa nia mbaya na kinyume chake,hata hivyo simtetei Lowasa hapa ndio maana nimeliacha hilo kwani nakubaliana na baadhi ya maelezo yako.Hata hivi mtu mwenye akili akitaka kunusa harufu ya fedha za Gaddafi anaweza kupitia katika profile yako,Kwa unavyomponda EL na kumfagilia Membe,inaonesha umepofushwa kiasi cha kutoona ufisadi wa Membe kwa makusudi,Membe na Mabilioni ya Gadafi sio mjadala wangu wa leo!
 
MAGWANGALA

Sasa cha ajabu nini kutumia kiingereza? Hujui kwamba Tanzania Kiswahili na kiingereza zote ni lugha rasmi na mtu ana uhuru wa kuandika lugha aipendayo? Kama lugha niliyoitumia ya kiingereza hairuhusiwi humu JF nadhani mods wangekua wameipotezea zamani!

Uungwana hauuzwi dukani,busara ya kawaida inaelekeza kutumia kiswahili iwapo unakifahamu katika mijadala,hii ni kwa sababu wasomaji wa jamvi hili sio wote wanaojua kiingereza,kwa kutumia kiswahili utawezesha mada yako kusomwa na watu wengi zaidi pia tabia yako inaleta ubaguzi kwa kundi fulani la watu ambao bila shaka ni wengi sana!
 
watu wengine bibi eeh, mtu akisema anasikia harufu ya madafu ya libya wanajidai hawamwelewi, akisema hapa anasikia harufu ya maembe je?
Mkuu,huyu jamaa meelewa sana,ni kama ukirusha jiwe gizani,atakaelia ujue limempata!
 
PRESIDENT ELECT FEKI

Nyie mnasema kwamba mnaskia harufu ya pesa za Gaddafi. Kwa akili yenu fupi mmeshindwa kupambanua hoja mnakimbilia kuongelea upuuzi! Hoja hapa ni aina ya Kiongozi anaetufaa. Na mwanzo nimeandika kua kuanzia leo wale wote walioonyesha nia ya kwenda Magogoni ntawalinganisha na Viongozi wetu wa zamani na kwa kuanzia naanza na the two edwards. Sasa hapo cha ajabu ni nini?? Tatizo lenu nyie mnaempenda LAIGHWANAN so mkiona uzi wowote unaomkosoa mnakuja juu kama moshi wa kifuuu na kuacha kujadili hoja iliyopo mbele. Hata akina Membe, Magufuli, Sita, Migiro etc wote watafananishwa au huelewi maana ya "As from today, I will be comparing.... katika ile para ya kwanza, Mkuu au Lugha gongana????
Yes EL hafai,ok,nani anafaa?nimeenda kwenye profile yako na kuangalia machapisho yako nikaona "mtu anayefaa"Baada ya kubandika uzi wako huu,tumeona jinsi unavyochangia,tumenusa harufu ya fedha za Gaddafi,Natarajia ukija na uchambuzi mwingine juu ya watu wanaofaa kuwa marais hutasita kuzungumzia kidogo "Fedha za Gaddafi"
 
MAGWANGALA
]
Utaenda sehemu nyiiingi na utazunguka wee haitasaidia kitu kama hujadili hoja. Hoja hapa ni rahisi tu Lowas vs Sokoine. So nimategemeo yangu kama wachangiaji wengi walivyochangia nawe utatoa maoni juu ya watu hawa wawili. Ukitoa maoni yako kumsifu Lowasa KAMWE sitasema umelipwa na Lowasa. Ukiona mtu anaacha hoja anakimbilia upuuzi huyo ni wa kumuogopa kuliko ukoma!!!Ni hilo tu kaka!
 
MAGWANGWALALALA

Mchambuzi aliyekutangulia katoa neno zuri sana "AINA YA VIONGOZI TUWACHAGUAO INAREFLECT SISI TUNAOWACHAGUA! Mtoa rushwa huchaguliwa na MLA RUSHWA. PERIOD. SAMAHANI LAKINI!
 
utakuwa tahira na muokota makopo ukifananisha lo-rushwa na mzalendo, mtenda haki sokoine,
Filia mbali wale mliohongwa kumtetea mwizi kuongoza watz.
Lo Rushwa hafai kabisa labda wasomi waadlilifu kama sisi tuhamishwe nchi.
 
We are comparing, un-comparables! Aliyepinga rushwa mpaka kifo hawezi kulinganishwa na mla-na-mtoa rushwa. Nina uhakika Mungu hawezi kuchagua mtu huyu hasa baada ya miaka kadhaa bila kuwepo clear direction ya nchi!
 
JINI
Kwahiyo kitu pekee wafananacho ni majina?
 
Back
Top Bottom