Edward Lowassa na Wanaomzunguka

Tuwe wakweli tu Lowasa ni mchafu halafu anzungukwa na watu wachafu hakuna nafuu hata upande mmoja.

wasafi wenu hamuwataji sasa,hapo ndio mnapozidi kutia watu mashaka...!!!!
 

Hoja nzito ni zipi? Mie nadhani hoja wakati mwingine ni relative!!Una uhakika gani kwamba walioshangilia hawaoni kwamba hizo ni hoja nzito,,,,ila nachelea kusema mimi 'personally' nadhani Lowasa simkubali hasa kutokana na yeye kuwa mmoja wa wakuu wa mtandao uliomuweka JK madarakani na huu utawala umeniangusha kwahiyo naamini itakuwa hivyo hivyo kwenye utawala wake.
 
Nakushauri urudi tena darasani kujifunza uhalisia wa dhana ya maamuzi magumu, LOWASSA amekuwa katika maamuzi magumu si kana dhana bali uhalisia wa matendo katika kuyatekeleza, mfano Maamuzi ya watanzania kutumia maji ya ziwa Victoria.

Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka wa 1929 na 1959 huu ukiwa mkataba wa kikoloni uliosainiwa kuisaidia Misri kitumia maji ya Mto Nile katika shughuli za umwagiliaji, lakini LOWASSA akiwa anajua shida ya watanzania aliamua kuchukua maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huo kwa masilahi ya Taifa zima,

Huyo ndiyo LOWASSA bhana Rais wa awamu ya 5
 
Sentesi fupi kama hii haifai, tunaomba utupe ubora wake amabao unamtofautisha na watu wengine, tunaomba umuoshe atakate kuhusu tuhuma za ufisadi, tunaomba utwambie kwa nini marafiki wake wote ni wachafu wa tuhuma, Rostam Azizi, Chenge, Mama Tibaijuka, Wafanya biashara wachafu wa rushwa anaotumia kumwagiwa pesa. Twambie kipi anatarajia kukifanya kubadilisha nchi hii iende kwenye mataifa yanayokwenda kasi kama Kenya, Ethiopia na Rwanda, twambie amekuwa madarakani tangu akiwa kijana alifanya lipi la ajabu ambalo wengine hawajawahi kufanya.
we sema ukweli kuwa ni mmoja wa watendaji waoga na wasiotimiza wajibu mnaoogopa kuwa akichukua nchi mtakalia tako moja stupid
 
Kila mara wafuasi wake watatoa mfano huo bila kutoa mwanzo na mwisho ilikuwaje, wangapi wametoa maamuzi ambayo yamesaidia taifa na hawajawa marais? Unatakiwa kujua nini inafanya LVBC katika kuliendeleza Ziwa Victoria, ujue mikataba na makubaliano ambayo hayamuhusu Lowasa bali nchi ambazo ni wanachama.
LVBC ka
 
Siamini kama RA na Karamagi wanaweza kutumika kuondoa umaskini kwa watanzania! Mfanyabiashara huamni katika faida, na faida kubwa hupatikana kwa kumnyonya binadamu. Mashine huwezi kuinyonya kwa kuwa lazima itumie kama ilivyopangiwa vinginevyo itazimika au kunoki.
 
hao waliotoa maamuzi km ya lowassa waorozeshe hpa acha kutokwa na povu.lowassa oyeeeeeeeeee
 
Yupi Bora, mwizi anayefanya kazi angalau wengi wakafaidi au mwizi anayebaika kila kitu na kuacha wanachi wake bila kitu?
 
Hivi nani sio mwizi Tanzania? Watanzania wote ni wezi, yeyote atakayechaguliwa ni mwizi, kama wezi lazima tuwe na kiongozi wether EL or any other. Hivi wewe na umaskini huu unafikiri kuna mtu anatakwenda Magogoni kwenda kundeleza umaskini?. Lazima akwapue kwanza chake akishashiba ndio atawakumbuka maskini.
 
Nchi inahitaji rais kichaa kidogo awatandike kwanza mpka wanyooke na anayeweza hiyo ni EL tu na sio Mwngine.
 
Nchi inahitaji rais kichaa kidogo awatandike kwanza mpka wanyooke na anayeweza hiyo ni EL tu na sio Mwngine.

Ubabe,utemi,ujeuri,undava ndo unahitaji kwa miungu watu walioko ndani ya utumishi wa umma potelea mbali wakienda mahakamani
 
Na ambao sio wezi hawajapata fursa au ni waoga tu sio waadilifu
 

nakupongeza sana,kwa kuongea vitu halisi kabisa kwani matatizo tulio nayo kwa sasa yaani ufisadi na kutokuwajibishana kunatona na watu wale wale,ambao ndio hawa hawa wanataka kumweka mtu wao madarakani,

hapa watanzania wategemee huyu bwana hakipita hata mlo mmoja wanao upata sasa hawata hupata kwani sote tunakumbuka hawa jamaa walivyoingia 2005 kila kitu alichokua amekiacha mh mkapa ikiwa mfumuko wa bei ulipanda kwa kasi na unafuu wa maisha ukatoweka,

sasa huyu bwana hakipita na kuhapia tutamkumbuka sana mzee kikwete, maana hawa wana mtandao wapo kikazi zaidi,

kilio tena kikuu kitakua kwa washabikiaji wote,wasio pima kwa undani bali ushabikia maradhi yatakayo watafuna wao na watoto wao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…