T tatoo nyalus Member Joined Feb 4, 2019 Posts 12 Reaction score 3 Feb 6, 2019 #1 Nilikuwa nahitaji maioni na mtanzamo ni kweli kwakuwa ajira zimekuwa ngumu hivyo haina haja ya kusoma badala yake tufanye biadhara au ujasiliamali...?? Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nahitaji maioni na mtanzamo ni kweli kwakuwa ajira zimekuwa ngumu hivyo haina haja ya kusoma badala yake tufanye biadhara au ujasiliamali...?? Sent using Jamii Forums mobile app
advocate kiza JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 259 Reaction score 90 Feb 6, 2019 #2 Aseeee!! Kwani Biashara Wangapi Wanafanya Hujafikiria Kutofanya Kwa Sababu Wanafanya Wengi??? Soma, Uelewe, Ufaulu, Ujiajiri, Uwajiri Muda Mwingine Hata Kusoma Ni Ujasiriamali,
Aseeee!! Kwani Biashara Wangapi Wanafanya Hujafikiria Kutofanya Kwa Sababu Wanafanya Wengi??? Soma, Uelewe, Ufaulu, Ujiajiri, Uwajiri Muda Mwingine Hata Kusoma Ni Ujasiriamali,
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,578 Feb 6, 2019 #3 Mtoto wa masikini kufanikiwa kimaisha ni ngekewa tu na kubahatisha. Lakini kwa mtoto wa tajir kufanikiwa njia ya kumuingizia kipato ni rahis sana. Bila mabadiliko ya kisiasa katika nchi watu watasota sanaaaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa masikini kufanikiwa kimaisha ni ngekewa tu na kubahatisha. Lakini kwa mtoto wa tajir kufanikiwa njia ya kumuingizia kipato ni rahis sana. Bila mabadiliko ya kisiasa katika nchi watu watasota sanaaaaa. Sent using Jamii Forums mobile app