SYMBOLOGIST
Member
- Apr 10, 2014
- 72
- 32
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...
hapo kwenye bold ..sio kweli mbna huwa wanawakosoa na kuwapinga makocha wao?mfano,wamewahi kupinga sana kitrendo cha scolari kumteua ronaldinho na kumtosa romario kias cha kumtishia kifo kocha wao...Sijaona tatizo kuna ubaya gan kuwaiga wabrazil kwa jambo jema?
Ni kwel hapa bongo tumezidi kila mtu kocha kila mtu mchezaj kila mtu dk nk
kwenye bold:hata brazil kuna mambo ya kupanga timu..Edo kumwembe huwa anaangalia mapungufu tu na hasemi ukweli...mbona hasemi kuwa wabrazil huwapangia kikos makocha wao..mfano scolari mwaka 2002 alilazimishwa amchukue romario badala ya ronaldinho..haya mambo yapo!!!Wivu wa kike huo,ndo maana hapa bongo hata mzee Akilimali anaweza kupanga first 11.
mkiambiwa ukweli mnalalamika.
Afadhali Edo kaamua kwenda Brazil kufanya kazi inayomhusu
kuna waandishi wa michezo hata Brazil hawakujui...wao kazi kuripoti fitna za uchaguzi wa Simba tu.....
yaani mwandishi wa michezo hajawahi kusafiri hata sikumoja kufuata michezo...yeye nikufuatlia fitna za soka za TZ tu so local...no exposure....full ukanjanja...
wewe kichwa yako inafikiri vizuri kweli?Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...
hapo kwenye bold ..sio kweli mbna huwa wanawakosoa na kuwapinga makocha wao?mfano,wamewahi kupinga sana kitrendo cha scolari kumteua ronaldinho na kumtosa romario kias cha kumtishia kifo kocha wao...
je alikubali au alikataa!? na alichukua kombe! wewe kama si mfuasi wa simba basi ni yanga! mbabaishaji!!!!!!!!kwenye bold:hata brazil kuna mambo ya kupanga timu..Edo kumwembe huwa anaangalia mapungufu tu na hasemi ukweli...mbona hasemi kuwa wabrazil huwapangia kikos makocha wao..mfano scolari mwaka 2002 alilazimishwa amchukue romario badala ya ronaldinho..haya mambo yapo!!!
Kuna waziri mmoja hivi majuzi alizua sokomoko kwa kuwaambia wazungu wasituzingue na hapa namnukuu, "We have our own ways of doing things, so no one should intervene our programs"
Hivi huyo Edo aliwahi chezea timu gani vile?