Edgar Bantulaki and Deogratius Sizimwe( prince sizmwe)

Edgar Bantulaki and Deogratius Sizimwe( prince sizmwe)

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
Edgar bantulaki and Deogratius Sizimwe aka Prince Sizimwe..hawa jamaa nilisoma nao elimu ya sekondari nchini Uganda, me nikaendelea chuo makerere, edgar alirudi TZ, Sizimwe alienda amerika! tuliachana miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka sasa sina mawasiliano nao! nimejitahidi kuwatafuta sana sijafanikiwa mwenye kuwa anawafahamu plz aniPM. mwaka jana mwishoni nilipata taharifa edgar ni advocate huko dar nikajaribu kuuliza bado mpaka sasa sijafanikiwa! kwa yeyote anayejua hao watu aniPM au anitext in my cell +138123562182. natanguliza shukrani wanaJF
 
Back
Top Bottom