Nimesoma nakala iliyoandikwa na Eddo katika gazeti la mwanaspoti, inazungumzia ukosefu wa ubunifu katika kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka yake na vivutio vyake, nimemuunga mkono kabisa kwa sababu ni kweli kuna watu wanatalii kila siku kwenda nje ya nchi kwa visingizio za kutangaza vivutio nya nchi yet na wanatumia gharama kubwa lakini paka leo masai mara ina umaarufu kuliko Serengeti.
Tukitumia watanzania wenye mafanikio kama samatta na wengineo tunaweza kulitangaza taifa lete tena kwa gharama ndogo tu.