Hahaha. Kuna watu wanaitwa Lagitators, hawa ni wanasheria wazuri sana, kazi yao kubwa ni kuangalia tu matajiri au makampuni wamejikanyaga wapi. Basi wao wananunua kesi.
Hii familia ya Marvin Gaye kila mwaka lazima wale sahani moja na msanii mwaka Juzi ilikuwa Robin Thickle halafu wa nangojeea wimbo ukishahit na kuuza nakala za kutosha ndo wanakuja japo sijaona ufanano hapo
Hii familia ya mavin gaye iache njaa.. walishawahi fungua madai dhidi ya farell williams kutokana na wimbo wa happy sijui yaliishia wapi..naona wamekuja na jipya..!