unataka kufanya nini? i recommend economics and finance kwa sababu hizi kwanza economocs is wider than accounts secondly kwenye biz subjects hakuna consultancy isiyohusisha economiccs and finance mwisho accounts ipo kupanga yaliyofanywa na wachumi na financial analysts naomba kuwasilisha