bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
- Thread starter
-
- #21
Utakuwa na Tatizo, Fanya check up
Huo ni ugonjwa wa zinaa tu yaani umalize kukojowa kisha yaje maniiMmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....
Sa mna matatizo gani jameni au mabomba yenu yanavuja? Virutubisho vinapotea hivi hivi
Itakuwa kuna mrija umetoboka kama upo maeneo ya mjini nenda garage kwa mafundi wanaochomelea watafute ilipo leakage wachomee tatizo litakwisha!
Kama unapesa tafuta mtu anaitwa urologistis(daktari bingwa aliebobeba kwny system ya mikojo) atakusaidia frsh usipoteze muda humu hiyo nipesa broHabari zenu kwanza
Naomba kuwauliza kitu,
Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine wakati wa haja kubwa.
Is it a problem or ni uzalishaji wa Mbegu umeongezeka.
Coz sijaona mabadiliko yoyote hata kwenye game, na nilijaribu kumtafta Dk. Wa magonjwa ya zinaa akasema ni jambo la kawaida.
Ebu tupeane uzoefu, sijamwamini sana.
Hahahahahaha u make me happlyItakuwa kuna mrija umetoboka kama upo maeneo ya mjini nenda garage kwa mafundi wanaochomelea watafute ilipo leakage wachomee tatizo litakwisha!
yaani mwezi na nusu ni muda mrefu??Hiyo hali inatokea kama umekaa muda mref hujala mzigo. ukikaa kama mwez mmoja na nusu ivi.So tafuta dem ule mkuu
Hapana kama utakaa mda mrefu utatoa kwa njia ya kuota usikuHiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume akiyekamilika na huwa inatokea unapokaa muda mrefu hujakutana na mwanamke
mkuu tafuta demu upige mzgo nakuhakikishia litaisha, kuna njia nyingi za kupunguza genye mwilin.Zinaweza kutoka zenyewe,kuota ndoto nyevuGono tena, magonjwa yote ya zinaa nilicheck bro, sikuwa na tatizo lolote, ndio jamaa akaniambia ni jambo la kawaida, na magonjwa haya dalili zake huwa ni za haraka kuziona... Na Nina like 2 months sijafany hizo vitu
Ndio....tujibu ili mtucheke?????wanaogopa kuonekana na wao ni jogoo ndio maana hawakujibu.
Hahahaaaaaa we mwanamke sometym unaniboa sometime unanifurahisha, and life goes on.Mmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....
Sa mna matatizo gani jameni au mabomba yenu yanavuja? Virutubisho vinapotea hivi hivi
Unatafuta nini huku? Wee ni mwanaume? Soma title. Acha kiherehere, haahaaahaaaaaaa!Mmh jogoo things
Una muda mrefu huja tenda tendo,,Hongera mkuu Kwa kuepuka dhambi so tatizo hiloHabari zenu kwanza