bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Evelyn Salt Shemeji hajawahi kukupa experience ya hizo maana naona wamekataa kuniambia hawa wajamaa wa humu jfMmh jogoo things
mmmh ya kwel hayo? Inaweza kuwa kwel aseewanaogopa kuonekana na wao ni jogoo ndio maana hawakujibu.
daktar si ashakwambia? au humwamini?
Mmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....Evelyn Salt Shemeji hajawahi kukupa experience ya hizo maana naona wamekataa kuniambia hawa wajamaa wa humu jf
Itakuwa kuna mrija umetoboka kama upo maeneo ya mjini nenda garage kwa mafundi wanaochomelea watafute ilipo leakage wachomee tatizo litakwisha!
Hahahahaha virutubisho vitakuwa vimezidi aseeMmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....
Sa mna matatizo gani jameni au mabomba yenu yanavuja? Virutubisho vinapotea hivi hivi
Nina experience katika hili mkuu, kapewa ushauri wa daktari haujamfaa nadhani daktari huyo ni expert kwenye auto tu ndo maana nikatoa wazo labda aende kwa mafundi wa kuchomelea kwa kuwa anaweza kuwa yeye ni manual
angalia isiwe gono ukadhani ni maniiHabari zenu kwanza
Naomba kuwauliza kitu,
Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine wakati wa haja kubwa.
Is it a problem or ni uzalishaji wa Mbegu umeongezeka.
Coz sijaona mabadiliko yoyote hata kwenye game, na nilijaribu kumtafta Dk. Wa magonjwa ya zinaa akasema ni jambo la kawaida.
Ebu tupeane uzoefu, sijamwamini sana.
hahahahahaha hii ndio JFItakuwa kuna mrija umetoboka kama upo maeneo ya mjini nenda garage kwa mafundi wanaochomelea watafute ilipo leakage wachomee tatizo litakwisha!
angalia isiwe gono ukadhani ni manii