Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo:
1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand
2. Biology science - Taylor Greeen
3. Inquiry into life - Sylivia
Naomba msaada kama kuna mtu anavyo.

Bosi, hiyo link uliotoa inaonesha Syllabus ya Four Year B.Sc Honours Course ya National Univ nafikiri India huko. Sidhani kama inajibu ombi la mwenye sredi
Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo:
1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand
2. Biology science - Taylor Greeen
3. Inquiry into life - Sylivia
Naomba msaada kama kuna mtu anavyo.
Mkuu hivi vitabu havipatikani bure, hata hivyo search yangu online inaonesha kuwa hakuna e-books za hizi titles bali full books to be purchased. Itakubidi ununue hard copies