Ebo kumbe kingereza chetu hakikubaliki Newzealand

Nenda hata UDSM idara ya lugha za kigeni wanafanyisha hiyo mitihani,,,,swala la lugha jamani ni kama fimbo,,,,,ukweli ni kwmaba Tanzania tunatatizo la lugha ila tulio wengi tunakataa kukubali,,,,,,,,,,,kuna tofauti kubwa saaaaaana kati ya graduate wa TZ, na UG au KE katika kujieleza kwa ufasaha kwa kingereza,,,,, na watanzania wengi tunakosa opportunities nyingi kwa kuwa lugha haipandi,,, kwakuwa nchi yetu ni maksini hatuwezi kupigia debe kiswahili,,,watoto wasome,,,kingereza kichina,, kijapan,kijerumani etc hii itatusaidia saana

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba ukitembelea nchi za nje utagundua kwamba ni Wakenya ndio wanaokieneza zaidi hata hicho kiswahili tunachojivunia kwa vile wanao uwezo wa kukifafanua kwa wageni kwa kutumia nyenzo ya kiingereza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom