Ebay shipment

Nanomyte

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
90
Reaction score
11
Habari zenu wana jamiii.

Nilikuwa naomba msaada. niliagiza badminton racket and shuttlecocks from ebay last month. i received only shuttlecocks. when i contacted seller this is what he replied

"Dear friend,The above is tracking number and link, goods has arrived in Tanzania, customs, 5 to 7 days you will receive items, you can also contact the local post office query, please wait patiently, wish you happy every day
Because African countries are more far away, so please be patient, bring inconvenience very sorry"

i am confused when he told i can contact local post.

can you please advice me where is this local post.

Ahsante sana.
 
Kuwa mpole tu kila kitu kitakuwa powaa kwanza ulininuua pamoja au separate?? saa zingine wanatuma separate lakini utapata tu wala usijali kabisaaa.
 

LOCAL POST OFFICE ni ofisi ya posta ulipo....mfano anuani yako ni s.l.p 1212 mbeya mjini....local post office hapo ni mbeya mjini post office.
 
Kuwa mpole tu kila kitu kitakuwa powaa kwanza ulininuua pamoja au separate?? saa zingine wanatuma separate lakini utapata tu wala usijali kabisaaa.

nilinunua separate,,,
 
LOCAL POST OFFICE ni ofisi ya posta ulipo....mfano anuani yako ni s.l.p 1212 mbeya mjini....local post office hapo ni mbeya mjini post office.


that means hapa dar local posta ipo maeneo ya posta ?
 
Naona kakupa tracking number, kwanini usiiclick kujua mzigo umefika wapi.
Pia nakushauri nenda posta lilipo Box lako ukapate maelezo zaidi, mara nyingi mizigo yenye size kubwa kama hiyo racket huwa vinabaki posta ya mjini kwa dsm ili ukafanye clearance na watu wa TRA. kuna import charges watakuchaji kulingana na gharama ya mzigo.
Kama mzigo umeshikiliwa posta ya mjini, then ukienda kwenye box lako utakuta kinote kikikupa maelekezo, wahi maana ukizidi chelewa watakukata storage charges.
Kila la kheri.
 
Local post office ni ile ambayo box number yako ilipo. Hapo ndipo utakapofuatilia. Kama box number yako iko posta ifuatilie posta.
Kama uliagiza separate be patient mkuu, na zaid kama amekupa tracking number mzigo utaupata mkuu
 
fanya yafuatayo
1. Subiri kidogo hasa kama haujatimia mwezi toka uagize. Vitu kuwasili tofauti ni kawaida kama uliagiza tofauti hata kama ni siku 1
2. Track huo mzigo wako kwa tracking number uliyopewa
3. Kama inaonyesha umefika tanzania, wasiliana na ofisi ya posta kutegemea na anuani yako (local post office)
4. Kama umefanya hayo yote na hujafanikiwa, fungua malalamiko kwa muuzaji, kisha ebay (lakini hii iwe hatua ya mwisho kabisa baada ya kujiridhisha kuwa muda wa kutosha umepita na mzigo haujafika na hakuna dalili)
 

nimengalia na this is what written
 

box langu lipo pugu road dsm..
 
nilienda website ya posta kisha nika click ips web tracking imeandika sijui ipo libya...
screenshot below
 
nilienda website ya posta kisha nika click ips web tracking imeandika sijui ipo libya...
screenshot below
View attachment 184066
Basi subiri na endelea kui track baada ya siku 2 au 3. Na kama imefika utafuatilia pugu kwanza, nadhani rejesta itatumwa huko kama ndo anuani uliyoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…