Eazy Eazy Sunday with Sweet Reggae Tunes

Eazy Eazy Sunday with Sweet Reggae Tunes

Thanks Karucee nimeona riddim mixes hapo toka youtube. Kwangu mimi Diamond and Gold Riddim ndio inayonisindikiza hapa kwenye kulijenga taifa.
 
Nimewaza tu Karucee kajifunga mtandio kiunoni anajiachia kwenye mduara katupia wigi makeups kibao usoni na kidole hewani:::::::

Hahahaaa. I wouldnt be caught dead kwenye mduara.

Nipeleke live band ya DDC Mlimani Park, Country Music na Reggae..... hapo safiiiiiii
 
My Karucee.............,...
oooohps!!!!!!!! nimepitwa!!!!!!!!!!!!!!
Kuishi porini kazi sana netwrk mpk nipandishe mlimani na nikifika huko nasahau jf moshi unanizidia................
 
Last edited by a moderator:
My Karucee.............,...
oooohps!!!!!!!! nimepitwa!!!!!!!!!!!!!!
Kuishi porini kazi sana netwrk mpk nipandishe mlimani na nikifika huko nasahau jf moshi unanizidia................

Hahahaha. No p mami. Saka hela, ndo mpango mzima!!
 
Back
Top Bottom