K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Jun 6, 2021 #1 Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa? Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea
Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa? Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,194 Reaction score 39,646 Jun 6, 2021 #2 Nyie SI mlidai hamsikilizi Tena hiyo redio? Imekuaje?
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,897 Jun 6, 2021 #3 kibaravumba said: Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa? Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea Click to expand... Leo ni kwa ajili ya wa mikoani tu.. enjoy!
kibaravumba said: Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa? Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea Click to expand... Leo ni kwa ajili ya wa mikoani tu.. enjoy!
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Jun 6, 2021 Thread starter #4 Kuna vipindi havina ujinga ujinga na ni miziki serious lazima tusikilize. Asee kama mmestua mmefanya vizuri maana sasa wamerudi tulipopoataka joshua_ok said: Nyie SI mlidai hamsikilizi Tena hiyo redio? Imekuaje? Click to expand...
Kuna vipindi havina ujinga ujinga na ni miziki serious lazima tusikilize. Asee kama mmestua mmefanya vizuri maana sasa wamerudi tulipopoataka joshua_ok said: Nyie SI mlidai hamsikilizi Tena hiyo redio? Imekuaje? Click to expand...
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Jun 6, 2021 Thread starter #5 Halafu viredio vyetu huku mikoani navyo vimejaa ujinga ujinga tu kuiga mambo ya hovyo kama vile miziki ya ngono ya hawa vijana wa bongo fleva. Miziki ya maana imekuwa adimu sana
Halafu viredio vyetu huku mikoani navyo vimejaa ujinga ujinga tu kuiga mambo ya hovyo kama vile miziki ya ngono ya hawa vijana wa bongo fleva. Miziki ya maana imekuwa adimu sana
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,389 Reaction score 134,955 Jun 6, 2021 #6 Kipindi nakipenda sana, ila mtangazaji niliemzoea sio huyu uliemtaja. Jerry Minja ndio anapatia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,769 Reaction score 193,732 Jun 6, 2021 #7 Mambo yao waachie wenyewe...