Easy Finance ni matapeli?

Umegeuka tena?the world has turned around hahahaa
Niliwatetea kwa wizi uliowatia hatiani? Acha kupindisha maneno hata siku moja siwezi kutetea mwizi kama wameiba wanastahili kukamatwa na wasipewe dhamana.
 
ukisema they take advantage of illiterates unakosea for wanaochukuliwa kitu Ka gari means the person anauelewa and kuna terms and conditions mpaka ufikie kisign means ukovizuri umekubaliana nao
 
it's a win lose situation. so if one is not an expert in finance ask for help from financial advisors that's why they exist
 

Mwanzo wa mwisho....
 
Kweli naamini malipo ni hapa hapa duniani utakapomfanyizia mtu, Isaac Kassanga ndani, Ndama mtoto wa Ng'ombe ndani, Papa Msofe ndani, Khamisi Faraji katuaga duniani, Charles Kaniki sijuwi yuko wapi, kina Katunzi haileweki...
 
Hili sakata limeishia wapi?

Naona GONZAGA AUCTION COMPANY ya Bw. Isaac Kasanga tena imehusika kunadi kitapeli nyumba ya mama wa watu Kunduchi!

Balaa juu ya balaa...
 
Isaac Kassanga yupo jela mwaka 2 sasa!! Kesi mbaya kabisa!! Uhujumu uchumi!!
 

Ningeshangaa kama mtu asingejitetea
 
Aisee uliongea kweli tupu. Leo wapo Lupango.
 
Crime does not pay.malipo hapa hapa duniani😁😁 Leo wapo ndani,Mke wao Miss Kobelo anaishi kama Digi Digi kwa sasa: Deuteronomy 32:35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…