Eastern Congo to be Rwanda, Kagame's wish

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,483
Kuna wakongo fulani nilikuwa naongea nao hapa, wanamchukia sana kabila na wanaamini kabila joseph ni mnyarwanda. pia wanaamini kuwa marehemu baba yake kabila aliomba msaada toka kwa Rwanda na Uganda kusaidiwa kuchukua nchi akiwaahidi kuwa AKISHINDA VITA ATAWAMEGEA eastern congo ili iwe part of the bahima empire.

Alipopata urais akawageuka ndio maana nyamwasa anasema kagame aliahidi kuwa atamshughulikia kabla na kweli kabila alikuwa assassinated. baada ya hapo kagame akaanza kuunga mkono akina laura nkunda na wengine ili waimege eastern congo ijitangazie uhuru halafu muda mfupi ijitangaze au kupiga kura ya maoni kuungana na Rwanda, kwa mpango huo Rwanda ambayo ina population kubwa sana na kanchi kadogo kama dodoma ingepata eneo kubwa zaidi la watu wake kuishi.

Vilevile inasemekana kagame anaamini hakuna rais yeyote anayeweza kumtisha hapa africa mashariki. ndio maana alikuwa na ujasiri hata kumwambia kikwete atampiga, alikuwa na uhakika kuwa uwezo huo anao na hata sasa anaamini kuwa uwezo huo anao kumpiga kikwete.

Mikoa ya Kagera na Kigoma, Mwanza na Shinyanga na Geita ambako wamejaa wanyarwanda na warundi wengi, inasemekana nayo kagame anaamini ingekuja kuwa kama eastern congo. EASTERN CONGO ni nchi ya congo lakini raia wake walio wengi ni wa asili ya Rwanda na wanajitambulisha kama wanyarwanda na wanaamini kuwa kuna siku eastern congo itaungana na rwanda.

Hivyohivyo huko Karagwe, Biharamuro na maeneo mengine inasemekana kuna wanyarwanda wengi wanaamini hayo kuna siku yatakuwa maeneo yao. WAKIMBIZI WALIOKUWA WAMEFURUSHWA NA operation kimbunga wamerudi karibia wote kisirisiri na kwasasa mikoa kama ya geita ujambazi ni kama kawaida ndio maana hata juzi hapa waliteka kituo cha polisi Ushirombo.
 
Hii post iliyoandikwa saa saba kasoro usiku inadhihirisha you were under the influence....what a lot of ----!!!
 
Hii post iliyoandikwa saa saba kasoro usiku inadhihirisha you were under the influence....what a lot of ----!!!
iliandikwa saa saba kwasababu nimerudi muda si mrefu nilikuwa nao mzee ni wafanyabiashara wateja wangu wanafunga mali kwangu hapa bongo. situmii pombe ila nilikuwa nao kwenye bar moja kwa kitambo kirefu tukibadilishana mawazo.
 
Duh! kazi kweli kweli. Labda kwa congo, lakini kwa hapa bongo hizo ni ndoto mkuu. Hawawezi kuchukua part of Tanzania. kuishi nao tutaishi nao vizuri ilimradi wasivunje sheria...... Ni sheeeda!
 
Ni kweli labda wajaribu Congo wakitaja Tanzania watapewa kibano cha mbwa mwizi.

Duh! kazi kweli kweli. Labda kwa congo, lakini kwa hapa bongo hizo ni ndoto mkuu. Hawawezi kuchukua part of Tanzania. kuishi nao tutaishi nao vizuri ilimradi wasivunje sheria...... Ni sheeeda!
 
Ni watu wengi kumbe wanao ona hii side of the motive, hii version pia nimeisikia from a ugandan ex soldiers the idea is to annex that side of Congo kwa sababu hizo hizo ulizosema mleta mada. Lakini kwa bongo sijawahi sikia.
 
Unajua sisi waafrica sijui tukoje. Mimi sioni ubaya wa mwafrica yeyote kuishi nchi yeyote popote.
Tanzania itabaki kuwa nchi ya watz. Leo hii tukianza kujichunguza sihani kama kutakuwa kuna mtanzania halisi.

Tanzania is a pool of many different background,tribes etc from those countries surrounding us. Mimi naamini sheria za nchi lazima zifatwe na kuheshimuwa na opportunities zitoke for all . Sioni hatari mnyaruanda kuishi tz wala mganda as long as wanafuata sheria za nchi.

Kamwe hatuwezi kuendelea kama tuna ideologies za kutengana na kubaguana sisi kwa sisi waafrica.

Laana tulizonazo zatosha!!!
 
Nami huwa nawasikia baadhi ya wakongo wakisema huvyo. Lakini ni ndoto tu. Juzi tu Drc na Rwanda wamefanya zoezi la pamoja la kukagua mpaka wao na kuweka alama. Hizo ni wishes tu..na kuna msemo..if wishes were horses.......!
 
Nyie mnataka PK achapwe ili mchukue madaraka kiulaiini; make Rwanda hakuna uchaguzi
 
Hii post iliyoandikwa saa saba kasoro usiku inadhihirisha you were under the influence....what a lot of ----!!!
Yaani " Murutongore" ukiona post yoyote Paul Kagame na eastern Congo unawashwa matundu yote na kuharisha kama mdudu, are not Paul's second wife?!!! I doubt. Maana hekima waziweka pembeni na kuonesha misuli ya kinyarwanda. Unatuchafulia jukwaa.
 
Alafu akiongea tu, unasikia huyu interaamwe, we jenosaida...... LOL Hana jipya wala hawezi ku analyze hoja kama anavyofanya JMAl murutongore
 
Last edited by a moderator:

Lol. You must be talking about jMali. Hapo kwenye nyekundu just shows your IQ...you are contradicting yourself. But then again I can't blame you. I blame aliyekufundisha.
 
Last edited by a moderator:
Alafu akiongea tu, unasikia huyu interaamwe, we jenosaida...... LOL Hana jipya wala hawezi ku analyze hoja kama anavyofanya JMAl murutongore

Hakuna cha ku analyse...everything is self explanatory. Nyie ndio mnapaswa kutoka jasho mkijaribu ku re-write the history. Hahahaha. Mna kazi kweli kweli...mimi kazi yangu hapa is to bring you back from lala land.
 
Very True

Security organs take note
 
yaani mnyarwanda tena aliyesoma Tanzania anarudi leo anaiita Tanzania ni lala land....can Rwanda compete in anything with Tanzania? with exception with your so called usafi wa jiji? nchi pekee inayoweza kuwatukana watz kwa matusi kama ya kwako ni kenya. Rwanda has a very long way to go to even compete with Tanzania in every thing, you have nothing to compete with us. kigali yenyewe inatakiwa tu kushindana na mwanza au arusha, and that pride of yours is what brought you to genocide something which if you don't learn from your history, might repeat again someday so soon. the anger which the 75% Rwandans (hutu) have against the very fiew (14% tusi) will explode someday if you don't learn from your past. we are not prepared to receive refugees for the second time kwasababu tulivyowalea tukawapatia chakula na choo cha kujisaidia, viongozi wenu wengi tumewasomesha kwa kodi za watanzania na leo wanatutukana, hatutaki yajirudie tena. Mungu awasaidie.
 
Very True

Security organs take note
Security organs zilitangulia kulijua hili swala la Hima empire kabla jamii forums hazijazaliwa. Hata sumaye alishawahi kuliongelea miaka ya 1997 na 1998. Kimbunga na Kwenda Congo si kwa bahati mbaya. Mwisho Watakata tamaa na huo mpango wao maana safari yao imekuwa ngumu. Hiyo mindset yao ya kujilinganisha na Wayahudi wakati wao ni wasomali ndiyo inayowagharimu.
 
Hakuna cha ku analyse...everything is self explanatory. Nyie ndio mnapaswa kutoka jasho mkijaribu ku re-write the history. Hahahaha. Mna kazi kweli kweli...mimi kazi yangu hapa is to bring you back from lala land.
Yaaaaa, ni " lala land" sa babu nyie watutsi mlikuja Tanzania mkafundishwa ustaarabu, mkafundishwa kusoma na kuandika, mkafundishwa kushika upinde for the sake of peace and hamony; nyie mkaviacha vyote Tanzania mka opt kuendeleza militancy, mkaamua kuendelea (mpaka Leo) kuchinjana kwa kuangalia tofauti ya sura tu. Hata Kuku wa siku hizi wanawazidi intelgency maana hawana cannibalism tena. Sasa nyie ndo mnajilinganisha na binadamu walio wa- groom????!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…