Easter imenijia vibaya hii duuh , nimetenga kahela kangu ka kula , lakini nomekosa kampany kulingana na mazingira niliyopo kuwa mgeni mgeni zaidi asubuhi nimeamka naumwa daaashhh
But nimeshspata dawa kwa mchana nitakuwa poa wenyeji tukaribishane jamani.. Viwanja vizuri iringa