Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
:lying:Kwema wanaJF? Jamani PASAKA imekaribia, nawakumbusha kukwepa apointments zinazoweza kukuletea maambukizi ya magonjwa ya HIV/AIDS! Sikuku siyo kugegedana, nenda kwenye mkesha wa Pasaka, nenda kasali pasaka yenyewe na rejea nyumbani kwa amani. Wazazi wachungeni watoto hasa mabinti zenu, huo ndio wakati wa kugegedwa kwa kisingizio cha kwenda kwenye mkesha kumbe ni mwendo wa kwenda guest houses au kwenye magheto ya vijana, Nawakilisha!:A S angel: