Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,251 Dec 15, 2009 #1 Mwambangoma huvutia kwake jamani,ivi kwa nini tusiwe na segment kaa michango/post za East Afrka. Si unajua kwa sasa tumekuwa jamani ata Mwalimu alisema umoja ni nguvu utengano ni uzaifu! Nawakilisha hoja!
Mwambangoma huvutia kwake jamani,ivi kwa nini tusiwe na segment kaa michango/post za East Afrka. Si unajua kwa sasa tumekuwa jamani ata Mwalimu alisema umoja ni nguvu utengano ni uzaifu! Nawakilisha hoja!