Vyovyote utakavyoiweka sioni Trump win come Nov, na ujue ni State chache sana zinaamua next POTUS, kuna state ambazo Republican/Democrats don't campaign at all lakini win is guaranteed ,like Texas is a Republican win 100% same like California or New York Democrats is guaranteed 100% win no matter what, as of now Clinton 241 and Trump 105 and you need 270 to be President sasa angalia adavantage kubwa aliyokuwa nayo Clinton hapo, na ukiangalia Obama alishinda kwa zaidi ya 300+ electoral college na sioni kama Clinton is going to lose any state ambayo Obama alishinda 2012, na matusi aliyowatukana watu huyu Trump na policy zake zisizokubalika na majority this will be a landslide