EAC Patner States Medical and Dental Council Yaagiza IMTU Kifungwe mara Moja!!


Wanafanya kazi gani? Au kwa vile hakuna system ya kuwa assess, daktari wa div 3 au 4 siyo na hawezi kuwa daktari mzuri hata siku moja, nyie wa ma div 3 na 4 wengi ni wale sijui ndo mnaita clinical officers, sasa mnatumia ujuzi wa kiorimitive kutibu, ata maongezi ya daktari wa vyuo vya kata na fresher wa chuo kikuu sawasawa utagundua walakini upo wapi. Yule fresher anaitaji muda kidogo sana kucatch up na kumuacha yule mbumbumbu aliyevamia fani
 

Imekuuma eeeee, Kinachosababisha vyuo visijitozeleze ni nini?? Kwa nini unafungua UDOM na UDSM yenyewe imekushinda???

Viongozi wako wa CCM rushwa sana.
 

yaani hawa wahindi kumbe walikuwa wakiendesha chuo kinyemela kwa muda wote huo? hii serikali dhaifu ya kifisadi ndiyo iliyotufikisha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…