EAC Patner States Medical and Dental Council Yaagiza IMTU Kifungwe mara Moja!!

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
View attachment Tanzania.pdf

EAC Patner states Medical and Dental Boards Ilifanya Ukaguzi katika vyuo vinavyotoa Fani za udaktar MD na DDS katika nchi wanachama hapo mwaka 2009. Katika Report yake Council hiyo Imeiagiza wizara ya Afya kwa kushirikiana na waziri wa Afrika Mashariki kuhakikisha chuo cha IMTU kinafungwa mpaka kitakapo meet the minimum requirements.

Sasa hawa wahindi walivyobobea kwa rushwa mpaka sasa chuo bado kinaendelea kuchakachua taaluma ya Afya, huku wakiwatoza ada vijana wetu kwa USD ambazo ni shurt ziwe deposited bank of INDIA.

Jisomee mwenyewe report hiyo hapo juu (Tanzania) section 3.1.3
 

bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,316
1,050
Waziri wa Africa mashariki mnamjua. anawania kumrithi baba R. Wahindi ndio waliobobea kwa rushwa unategemea nini ? Graduates wengi wa IMTU ni makanjanja lkn hawawatibu viongozi. viongozi wetu wanatibiwa A. kusini na Ulaya. Acha Mtz aendelee kupata maisha mazuri kwa tiba ya makanjanja wa imtu. Na hii kesi mark my words baada ya wiki hii hutaisikia tena.
 

Kimweli

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
899
230
Waziri wa Africa mashariki mnamjua. anawania kumrithi baba R. Wahindi ndio waliobobea kwa rushwa unategemea nini ? Graduates wengi wa IMTU ni makanjanja lkn hawawatibu viongozi. viongozi wetu wanatibiwa A. kusini na Ulaya. Acha Mtz aendelee kupata maisha mazuri kwa tiba ya makanjanja wa imtu. Na hii kesi mark my words baada ya wiki hii hutaisikia tena.

Mimi hii Nchi naishangaa sana, haiwezekani mtu ana dv 3 or 4 akasomee Degree of Medicine, ni ujinga sana. A doctor must be very bright siyo hawa wa kwetu.
Hivi ni radhima kila chuo kitoe madakitari!
Nchi imejaa wasen.. Na viongozi wake makanjanja tu.

Tukio kama hili is very sharm to Tanzania mapicha yanasambazwa sna. Liraisi letu nalo liko Songea sasa hivi na hakuna kitu limesema about this issue. Viungo vya binadamu I don't think if is a joke

Mnisamehe nahasira sana na hili linchi, ujinga mwingi sana aisee
 

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
12,916
11,203
Ni kweli ni Rushwa kwa kwenda mbele. Nchi ambayo maporisi Mabosi wanavitambi aibu sana. Corrupted country, Corrupted Country, Corrupted Country,

Wanatumia mda mwingi kuhangaikia madaraka sijui mateam ya uraisi wakati mda bado mwaka mzima watu hawafanyi ya umuhimu kutumia siasa na kuhangaika na upinzani what a shame vitu.vya msingi kama elimu afya hatufatilii kuendekeza upuzi tu
 

MartinDavid

JF-Expert Member
May 22, 2009
874
144
Hivi kwanza hivyo viungo walipata wapi? Je ndugu wa hao marehemu walijua juu ya viungo vya wapendwa wao viliondolewa???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom