EAC Patner States Medical and Dental Council Yaagiza IMTU Kifungwe mara Moja!!

Ulicho andika ni upuuzi usiovumilika nichuo gani Tanzania inachuo kilichojitosheleza kwa kila kitu kama vya wenzetu Ulaya na nchi zilizoendelea penda chako boresha unapomtukana Rais na Kutukana serikali nzima unaakili wewe mafanikio uliyoyapata nyanja zote ni chini ya serikali hihi.Umenikera sana,hivi kwanini mnapenda kudanganya watu humu ukweli wa tukio kwa undani huujui unasikia sikia tu,ni lini na wapi ulilinganisha wanafunzi hawa wa vyuo vyote Imtu na hao wengine ukaona hawafai sasa kwa taarifa yako nenda maeneo ya Hospital za rufaa ukaone Interns gani wanapiga kazi za kufa mtu achakukariri pumbafu wewe.

Wanafanya kazi gani? Au kwa vile hakuna system ya kuwa assess, daktari wa div 3 au 4 siyo na hawezi kuwa daktari mzuri hata siku moja, nyie wa ma div 3 na 4 wengi ni wale sijui ndo mnaita clinical officers, sasa mnatumia ujuzi wa kiorimitive kutibu, ata maongezi ya daktari wa vyuo vya kata na fresher wa chuo kikuu sawasawa utagundua walakini upo wapi. Yule fresher anaitaji muda kidogo sana kucatch up na kumuacha yule mbumbumbu aliyevamia fani
 
Ulicho andika ni upuuzi usiovumilika nichuo gani Tanzania inachuo kilichojitosheleza kwa kila kitu kama vya wenzetu Ulaya na nchi zilizoendelea penda chako boresha unapomtukana Rais na Kutukana serikali nzima unaakili wewe mafanikio uliyoyapata nyanja zote ni chini ya serikali hihi.Umenikera sana,hivi kwanini mnapenda kudanganya watu humu ukweli wa tukio kwa undani huujui unasikia sikia tu,ni lini na wapi ulilinganisha wanafunzi hawa wa vyuo vyote Imtu na hao wengine ukaona hawafai sasa kwa taarifa yako nenda maeneo ya Hospital za rufaa ukaone Interns gani wanapiga kazi za kufa mtu achakukariri pumbafu wewe.

Imekuuma eeeee, Kinachosababisha vyuo visijitozeleze ni nini?? Kwa nini unafungua UDOM na UDSM yenyewe imekushinda???

Viongozi wako wa CCM rushwa sana.
 
View attachment 37874

EAC Patner states Medical and Dental Boards Ilifanya Ukaguzi katika vyuo vinavyotoa Fani za udaktar MD na DDS katika nchi wanachama hapo mwaka 2009. Katika Report yake Council hiyo Imeiagiza wizara ya Afya kwa kushirikiana na waziri wa Afrika Mashariki kuhakikisha chuo cha IMTU kinafungwa mpaka kitakapo meet the minimum requirements.

Sasa hawa wahindi walivyobobea kwa rushwa mpaka sasa chuo bado kinaendelea kuchakachua taaluma ya Afya, huku wakiwatoza ada vijana wetu kwa USD ambazo ni shurt ziwe deposited bank of INDIA.

Jisomee mwenyewe report hiyo hapo juu (Tanzania) section 3.1.3

yaani hawa wahindi kumbe walikuwa wakiendesha chuo kinyemela kwa muda wote huo? hii serikali dhaifu ya kifisadi ndiyo iliyotufikisha hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom