EAC economies to end the year with alarming debt ratios- IMF

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,506
According to the IMF, EAC countries will close 2019 with very high debt-to-GDP ratios.

Burundi’s ratio will reach a high of 63.5 per cent from 58.4 per cent last year. It will be followed by Kenya and Rwanda whose debt-to-GDP ratios are expected to increase to 61.6 per cent and 49.1 per cent from 60.1 per cent and 40.7 per cent respectively during the same period.

The debt-to-GDP ratios for Uganda and Tanzania will increase to 43.6 per cent and 37.7 per cent from 41.4 per cent and 37.3 per cent respectively.

Wonders shall never end, now you agree with IMF? Siku watasema ati Tz is growing at 3.9% you will be the first person to criticize them.
 
Waukize uchumi wa tanzania unakua kw kiasi gani..nadhani watakujibu vizuri
According to the IMF, EAC countries will close 2019 with very high debt-to-GDP ratios.

Burundi’s ratio will reach a high of 63.5 per cent from 58.4 per cent last year. It will be followed by Kenya and Rwanda whose debt-to-GDP ratios are expected to increase to 61.6 per cent and 49.1 per cent from 60.1 per cent and 40.7 per cent respectively during the same period.

The debt-to-GDP ratios for Uganda and Tanzania will increase to 43.6 per cent and 37.7 per cent from 41.4 per cent and 37.3 per cent respectively.

Wonders shall never end, now you agree with IMF? Siku watasema ati Tz is growing at 3.9% you will be the first person to criticize them.

Siyo kila kitu lazima uwakubalie mabeberu.
Unakumbuka juzi kati wakaanza uzushi eti Tanzania watu wanakufa kwa Ebola kwa kwenda mbele. Wee unafikiri tusingekomaa nao hali yetu kiuchumi ingekuweje, ukizingatia utalii ndiyo miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato.
 
Wonders shall never end, now you agree with IMF? Siku watasema ati Tz is growing at 3.9% you will be the first person to criticize them.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Una upuzi mjamaa 😂😂😂😂😂 imebidi nitoke nje watu wamenishangaa vile nacheka. 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Miradi yote hiyo lakini deni limeongezeka kutoka 37.3% mpaka 37.7% tuu, watu wakiambiwa tunajenga kwa fedha zetu hawaamini.
Hapana bro Ni vyuma vimekaza hata hamkopesheki SI hata umeona SGR yenu kukamilisha kwake 200km imehairishwa mpaka mwezi wa 6 2020...dalili za kukosa hela Tena deni hamlipi Nani atawakopesha?
Pili pia ATCL ratiba uko nayo, Kama inafika South Africa nitag najua haigiki kwa mkulima kuingoja anyakuwe...dawa la deni Ni kulipa
 
Ha ha shenz
 
Sababu ni kuwa kipande cha Dar - Moro kinapata mvua nyingi (angalia hata vegetation yake kwenye google - satellite) hivyo kuchelewa kumalizika siyo jambo la kustaajabu.

Huyo mkulima wako kama unamenda sana kanywe nae chang'aa.
 
Miradi yote hiyo lakini deni limeongezeka kutoka 37.3% mpaka 37.7% tuu, watu wakiambiwa tunajenga kwa fedha zetu hawaamini.
Tell that to grant and donation owners. All your projects are funded by either grant, donations or loan. Out of the three grants and donations predominate.
 
This kind of ideation only comes from someone who is under the influence.
 
1572959761623.png
 
Tell that to grant and donation owners. All your projects are funded by either grant, donations or loan. Out of the three grants and donations predominate.
Taja mradi mmoja unaokuwa,funded na hizo grants and loans unasemea.
 
Sababu ni kuwa kipande cha Dar - Moro kinapata mvua nyingi (angalia hata vegetation yake kwenye google - satellite) hivyo kuchelewa kumalizika siyo jambo la kustaajabu.

Huyo mkulima wako kama unamenda sana kanywe nae chang'aa.
Mvua Ni kisingizio tu ila ukweli Ni kuwa hamna hela.
 
Kama tungekuwa hatuna pesa deni letu lingeongezeka mara dufu kama lenu.
Mnakaza kamba ndio sababu hamna deni mnachukua ispokuwa la dreamliner na la SGR kidogo kidogo ndio maana inajengwa polepole
 
Hivi kwenye reli yenu zile km 200 za kwanza mlijenga kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom