Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
EA sports wako poa upande wangu, sijawahi penda Konami
KONAMI wanatengeneza game nzuri tangu mwanzo ila EA SPORTS amekuja kubadilika kwenye FIFA 14.. mwanzo EA walikua wanakosea uhalisia wa sura ya mchezaji na tatizo hili lipo hadi kwenye PC games zao... lakini kwa popularity EA ipo juu wameanza kitambo na PC games.. game nzuri ya EA kabla ya FIFA 14 ilikua ni FIFA12 na ile ya world cup 2002.. ila nategemea uprising ya EA kwenye FIFA 15.. still KONAMI ni wazuri
ukizungumzia quality EA wako vizuri KONAMI anawazidi ujanja kwenye mpira tu... the best game from EA kwangu ni METAL GEAR,, MEDAL OF HONOR, NEED FOR SPEED most wanted,
Kwa kweli Ea sport huwa nacheza game za mission tu ila mpira huwa napendelea kucheza winning eleven ya 2005 iko na uhalisia ever kwa ps 2
ila ps 4 ni Ea sport tu
kwa upande wa PS2 EA SPORT (FIFA) hamna kitu ila KONAMI (PES) bhana ndo mpango mzima. Na misheni huwa nacheza kidogo ila sijajua ile game ya MID NIGHT CAR RACING ametengeneza nani.
hii thread ingetakiwa tuifanye kwa vitendo tukutane kabisa tuone nani mbabe
mkuu niko vizuri sana EAuko vizuri? au unachokoza ugomvi wa mawe na ww uko kwenye nyumba ya vioo
unamaanisha ile MIDNIGHT CLUB RACING ya PS 2??
uko sawa kabisa mkuu hiyohiyo ndo nataka kujua mtengenezaji kampuni gani?
kuna hawa jamaa wa IO interactive wanatengenez game kali kama series za hitman(agent 47) hiz game ni balaa!
pia mchango wa eidos na square box katika publishing unafanya game iwe kali... by the way umepata kuiona hitman go??
pia mchango wa eidos na square box katika publishing unafanya game iwe kali... by the way umepata kuiona hitman go??
mkuu hiyo bado!mi nmecheza code name47,hitman 2:silent assassin.natafuta blood money na contract then absolution hii ndo nna hamu nayo sana!