EA Radio mna shida gani?

EA Radio mna shida gani?

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
Yani kila leo mnaondokewa na watangazaji ninao wakubali, are u still paying them "vijimshahara" ama? Juzi kaondoka George Bantu, leo naangalia insta ya Clouds namwona tena Kenedy the remedy. Whats wrong with you guys? Yani gap la miezi mnawapoteza wafanyakazi wazuri wawili tena walikua wanaendesha kipindi kimoja? Kabla yao kaondoka Dj Mafuvu, wote hawa ni majembe hatari alafu kabla yao aliondoka Sebastian alafu 90% wanaenda sehemu moja.

Mnatuboa kwa kweli, u dont care abt ur fans.
 
Kennedy na George waliondoka siku moja! Saaa kama hulipi vizuri halafu unawanyanyasa lazima wasepe maana hakuna namna!
 
Hata mm nimeliona hili inasemekana IPP hawatoi mikataba ya maana ndo maana wanakimbiwa na watangazaj vichwa.Uzembe mwingine hawafany replacement haraka,EA radio zunguken mikoan mbona kuna presenters wakal tu!
 
Hivi kama hawa jamaa wanalipa kidogo na wana nyanyasa watangazaji kama mnavyosema mbona kuna watangazaji wanahamia huko?

Hivi wanaoondoka Clouds sababu huwa ni nini? Kuna mwingine hata ufanye nini huwezi kumlazimisha mtangazaji kuendelea kufanya kazi na wewe!

Hebu tuambie EA radio wanalipa ngapi na Clouds wanalipa ngapi?
 
Mkuu kwani huwa mikata ba yao ni Tsh ngapi na kwingine ni Tsh ngapi?
 
Hivi kama hawa jamaa wanalipa kidogo na wana nyanyasa watangazaji kama mnavyosema mbona kuna watangazaji wanahamia huko?

Hivi wanaoondoka Clouds sababu huwa ni nini? Kuna mwingine hata ufanye nini huwezi kumlazimisha mtangazaji kuendelea kufanya kazi na wewe!

Hebu tuambie EA radio wanalipa ngapi na Clouds wanalipa ngapi?

clouds watangazaji wake wanafaidika sana,coz ndo maana kila kipindi huwa kuna matangazo mengi
kinachofanyika pale ni kuwa mfano xxl,leo tena nk
wanaohusika na kile kipindi wanapaswa kuwavutia wadhamini wakubwa ili wakidhamini kipindi,
kadri wadhamini wanavyoongezeka nyie watangazaj ndo mnapata bonus zaid kwa kila tangazo
hvyo kujituma ndo inatakiwa pale clouds fm
 
Yani kila leo mnaondokewa na watangazaji ninao wakubali are u still paying them "vijimshahara" ama? Juzi kaondoka George Bantu leo naangalia insta ya clouds namwona tena Kenedy the remedy whats wrong with you guys yani gap la miezi mnawapoteza wafanyakazi wazuri wawili tena walikua wanaendesha kipindi kimoja? Kabla yao kaondoka Dj Mafuvu wote hawa ni majembe hatari alafu kabla yao aliondoka Sebastian alafu 90% wanaenda sehemu moja.

Mnatuboa kwa kweli u dont f* care abt ur fans.

Unafanya kazi kwa mchagga halafu unategemea kutoka kweli???
 
Hii ni moja ya kielelezo kwamba, EA ina majembe ya ukweli, maana hata kuondoka kwao hakuna pengo lolote. Yote kwa yote maisha ni popote kama wameona maslahi mazuri zaidi kwanini wasihame? Kuhama kwao kunasaidia kutambulika kwa vipaji vya watu wengine wapya, wangeendelea kukaa pale tusingewajua wengine. Hata ungekuwa wewe kitu cha kwanza unaangalia kwanza maisha yako.
 
Back
Top Bottom